2 Samuel 22:10-12


10 aAkazipasua mbingu akashuka chini,
mawingu meusi yalikuwa chini ya miguu yake.

11 bAlipanda juu ya kerubi akaruka,
akapaa juu kwa mbawa za upepo.

12 cAlifanya giza hema lake la kujifunika:
mawingu meusi ya mvua ya angani.
Copyright information for SwhKC